Programu hii ni kwa ajili ya kupata huduma na kutangaza biashara, ujuzi, kazi kwa wafanya biashara, wajasiriamali na watoa huduma.
Programu hii inakuwezesha kufanya mawasiliano moja kwa moja na muhusika kupitia simu au sms kwa wanaohitaji huduma.
Programu hii inawezesha kuona biashara, ujuzi au huduma za muhusika na pahala anapopatikana ili uweze kuwasiliana naye kwa simu au sms
Programu hii inakuwezesha kumtumia mwenzio (share) ili aweze kunufaika.
Latest Version
2.1.4Uploaded by
CV Giovany
Requires Android
Android 4.2+
Category
Free Business AppContent Rating
Everyone
Report
Flag as inappropriateLast updated on Feb 28, 2021
-Inakuwezesha kutafuta huduma unayoihitaji kwa mtoa huduma kwa kumpigia simu au sms.
-Inakuwezesha kutangaza huduma/kazi yako ili mteja aweze kuwasiliana na wewe kwa njia ya simu ama sms.
-Inakuwezesha kutangaza biashara au ujuzi popote nchini Tanzania.
-Ina usalama kwa mtumiaji kupitia kodi za OTP zinazowasiliana moja kwa moja na simu yako.