APKPure Appを使用する
Tanesco Hudumaの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
現在TANESCOサービスアプリケーションのみKinondoni北朝鮮のお客様のために利用可能です
Huduma hii ni mahususi kwajili ya wateja wa Tanesco na kwa sasa imeanza kutumika na wateja wa Mkoa wa kinondoni north(Tegeta,Mikocheni,Mbezi beach). Nia ni kuboresha huduma kwa wateja na hivyo basi Tanesco Huduma inawawezesha wateja kuripoti matatizo mbalimbali wanayopata inayohusisha huduma ya umeme ikiwamo kukatika kwa umeme,kudondoka kwa nguzo n.k. Vilevile wateja wataweza kupata ratiba za ukatikaji umeme kwenye Maeneo yao,kushugulikiwa matatizo yao kupitia huduma hii,bei za huduma mbali mbali za Tanesco na Tarifa zinazohusu shirika la umeme Tanzania.Last updated on 2016年10月31日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Tanesco Huduma
1.3.2 by Tanesco Kinondoni North
2016年10月31日