Tanesco Huduma icon

Tanesco Huduma APK

64 votes, 4.5/5

The description of Tanesco Huduma

Huduma hii ni mahususi kwajili ya wateja wa Tanesco na kwa sasa imeanza kutumika na wateja wa Mkoa wa kinondoni north(Tegeta,Mikocheni,Mbezi beach). Nia ni kuboresha huduma kwa wateja na hivyo basi Tanesco Huduma inawawezesha wateja kuripoti matatizo mbalimbali wanayopata inayohusisha huduma ya umeme ikiwamo kukatika kwa umeme,kudondoka kwa nguzo n.k. Vilevile wateja wataweza kupata ratiba za ukatikaji umeme kwenye Maeneo yao,kushugulikiwa matatizo yao kupitia huduma hii,bei za huduma mbali mbali za Tanesco na Tarifa zinazohusu shirika la umeme Tanzania.
Show More
Similar Or Related
Popular Apps In Last 24 Hours
Download
APKPure App