Use APKPure App
Get Tanesco Huduma old version APK for Android
वर्तमान में Tanesco सेवा अनुप्रयोग Kinondoni उत्तर ग्राहकों के लिए ही उपलब्ध है
Huduma hii ni mahususi kwajili ya wateja wa Tanesco na kwa sasa imeanza kutumika na wateja wa Mkoa wa kinondoni north(Tegeta,Mikocheni,Mbezi beach). Nia ni kuboresha huduma kwa wateja na hivyo basi Tanesco Huduma inawawezesha wateja kuripoti matatizo mbalimbali wanayopata inayohusisha huduma ya umeme ikiwamo kukatika kwa umeme,kudondoka kwa nguzo n.k. Vilevile wateja wataweza kupata ratiba za ukatikaji umeme kwenye Maeneo yao,kushugulikiwa matatizo yao kupitia huduma hii,bei za huduma mbali mbali za Tanesco na Tarifa zinazohusu shirika la umeme Tanzania.Last updated on Oct 31, 2016
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Android ज़रूरी है
2.3 and up
श्रेणी
रिपोर्ट
Tanesco Huduma
1.3.2 by Tanesco Kinondoni North
Oct 31, 2016