Use APKPure App
Get Mondi Karanga old version APK for Android
GEMU la aina yake. Shindana na wachezaji wenzako kufika 10 bora. Nogewa Jirambe.
😋Mondi Karanga ni Gemu la aina yake. Unapata nafasi ya kucheza na marafiki na kushindana kufika katika kumi bora ya wachezaji Mondi Karanga.
Limetengenezwa kama kamera ili kukuwezesha wewe mchezaji kucheza gemu hili ata kama unatembea barabarani bila ya kujikwaa.
Linafaa kuchezwa wakati wowote kama ukiwa kwenye dala dala kwenye foleni, chumbani kwako au hata bar na washkaji.
Furahia gemu hili.
Sambaza Upendo.
Last updated on Oct 27, 2017
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Perlu Android versi
4.1 and up
Kategori
Laporkan
Mondi Karanga
1.1.1 by Evance Jay E
Oct 27, 2017