Mondi Karanga icon

Mondi Karanga APK

  • Author:

    E Media

  • Latest Version:

    1.1.1

  • Publish Date:

    2017-10-27

The description of Mondi Karanga

Mondi Karanga ni Gemu la aina yake. Unapata nafasi ya kucheza na marafiki na kushindana kufika katika kumi bora ya wachezaji Mondi Karanga.

Limetengenezwa kama kamera ili kukuwezesha wewe mchezaji kucheza gemu hili ata kama unatembea barabarani bila ya kujikwaa.

Linafaa kuchezwa wakati wowote kama ukiwa kwenye dala dala kwenye foleni, chumbani kwako au hata bar na washkaji.
Furahia gemu hili.

Sambaza Upendo.
Show More
Advertisement
More From Developer
Comment Loading...
Be the first to comment.
Developer Console
Popular Games In Last 24 Hours
Download
APKPure App