📱 HeartBeatSMS – SMS za Mapenzi Zenye Kugusa Moyo ❤️🔥
HeartBeatSMS ni app bora ya SMS za mapenzi zilizotengenezwa kwa ubora, hisia na mvuto wa kipekee. Pata ujumbe tamu, wa kimahaba, wa kubembeleza, wa faraja na wa kuamsha hisia za upendo—zote zikiwa kwenye categories zaidi ya 12 kama Asubuhi Njema, Usiku Mwema, Mahaba Moto, Birthday, na Flirty.
App ina sehemu ya bure na ya premium, ambapo kwa Tsh 1,500 tu kwa siku unaweza kufungua SMS zote bila kikomo pamoja na categories zilizofungwa. Baada ya malipo, ingiza pass key yako na ufurahie full access.
Tuma SMS moja kwa moja WhatsApp, SMS, au social media. Weka favorites, tafuta SMS haraka, pokea “SMS ya Leo” na tengeneza mapenzi yenye joto kila siku.
HeartBeatSMS – Tuma Mapenzi. Hisi Mapenzi. ❤️
Latest Version
9.8Uploaded by
Ibraahswao
Requires Android
Android 6.0+
Available on
IbraahswaoCategory
Free Lifestyle AppReport
Flag as inappropriateLast updated on Nov 17, 2025
Danlod
