App ya Wijo inakuletea duka lako la simu na computer kwa urahisi—angalia bidhaa, linganisha bei, na nunua kwa few steps. Inatoa muonekano wa bidhaa kwa picha nzuri, maelezo ya kina, mfumo salama wa malipo, na fuatilia oda yako hadi itakapotumwa. Pata ofa maalum, usimamizi wa anwani, na huduma kwa wateja ikiwa unahitaji msaada. Rahisi kutumia, haraka, na imetengenezwa kukuwezesha kununua bidhaa za Wijo kwa njia inayotegemewa.
Asante na Karibu
Latest Version
1.2.0Uploaded by
Fátima Soares
Requires Android
Android 5.0+
Category
Free Business AppContent Rating
Everyone
Security Report
Check Now
Report
Flag as inappropriateLast updated on Apr 10, 2026
- initial release