Utabiri wa nyota kiswahili ni app ya kiswahili inayokuwezesha kusoma nyota yako na mpenzi wako na kujua kiasi gani mnaendana kimapenzi, kimahusiano na hata kibiashara.
Kwa jina lingine unaweza kuiita kama kikokotoo cha mapenzi "Love Calculator" kwa namna inavyochakata na kutoa majibu ya usomaji wa nyota.
Hauhitaji elimu ya nyota kutumia App hii kwani ni rahisi.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
-Weka jina lako
-Weka jina la mpenzi wako
kisha bonyeza kitufe cha kuangalia muunganisho wa kiroho (yaani nyota) na utapata majibu.
Malalamiko.
App hii ni kwa ajili ya kukuburudisha tu, usiitumie kama sehemu ya kufanya maamuzi ya mahusiano katika maisha halisi
Latest Version
9Uploaded by
滑稽
Requires Android
Android 8.0+
Category
Free Lifestyle AppContent Rating
Everyone
Security Report
Check Now
Report
Flag as inappropriateLast updated on Apr 3, 2026
Perfomance optimized