App hii imeandaliwa kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano baina ya wananchi wa Njombe.
Mambo yanayopatikana ni pamoja na;
Taarifa zote za njombe
Historia na tamaduni za njombe
Official website ya Njombe
Taarifa za michezo za Njombe
Uwanja wa kuchati
Uwanja wa kutangaza biashara
Uwanja wa wasanii wa Njombe
Uwanja wa urembo na mitondo
Uwanja wa kujenga mahusiano na kutafuta mchumba
Uwanja wa kutafuta Ajira
Uwanja wa simulizi
Latest Version
1.3Requires Android
4.4 and up
Category
Free Communication AppContent Rating
Teen
Report
Flag as inappropriateLast updated on Aug 3, 2021
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!