Our website uses necessary cookies to enable basic functions and optional cookies to help us to enhance your user experience. Learn more about our cookie policy by clicking "Learn More".
Accept All Only Necessary Cookies
Kipimo Cha Mapenzi icon

Kipimo Cha Mapenzi


Macveen
1.0
  • COMING SOON
    Update date
  • Everyone
  • 4.0 and up
    Android OS

About Kipimo Cha Mapenzi

Fahamu kiasi cha Upendo kati yako na Mpenzi wako

Application Ya Kupima Kiwango cha Mapenzi

Kupendana sio kufanya mapenzi tu, au ngono bali ni kiasi gani una mjali, unamuheshimu na kumuweka karibu mwenza wako.

App hii ina bashiri Kiasi cha Penzi kati yako na mwenza wako kwa kutumia Nyota, Majina na Tarehe za kuzaliwa, Inalinganisha nyota zetu kwa kupitia tarehe na majina na kisha kukupa majibu

Mapenzi yanaweza kupimwa kwa njia mbali mbali, kupitia nyota nirahisi zaidi

Jinsi ya Kutumia

✔ Weka jina lako sehemu imeandika jina lako

✔ Weka tarehe yako ya kuzaliwa, mwezi na mwaka

✔ Weka jina la Mpenzi wako

✔ na Tarehe yake ya kuzaliwa, mwezi na mwaka

Tahadhari kuhusu matumizi

⦿ Weka taarifa sahihi sehemu za kujaza, majina na Tarehe za kuzaliwa

⦿ Fahamu kwamba sio muda wote inaweza kubashiri 100%

⦿ Usitumie App hii kwa nia ya kuleta ufarakano

⦿ Tumia kwa ajili ya Burudani tu sio kulinganisha na Hali halisi

Special tags

⦿ Habari za siasa

⦿ Bongo flava Mpya

⦿ Miziki na burudani

⦿ Habari Tanzania

⦿ Vituko

⦿ Vunja Mbavu

⦿ Habari Mpya

⦿ Jinsi ya kutongoza

⦿ Mapenzi

⦿ matukio ya leo

⦿ Nyimbo Mpya

⦿ Tanzania App

⦿ Bongo Mp3

⦿ Mwanamke

⦿ Mwanaume

⦿ Ushauri wa kimapenzi

⦿ Udaku

⦿ Wachumba

Show More

Additional APP Information

Latest Version

1.0

Requires Android

4.0 and up

Content Rating

Everyone

What's New in the Latest Version 1.0

Last updated on Aug 3, 2017

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Show More

Kipimo Cha Mapenzi Screenshots

Kipimo Cha Mapenzi posterKipimo Cha Mapenzi screenshot 1Kipimo Cha Mapenzi screenshot 2

Related Tags

Popular Articles In Last 24 Hours

Subscribe to APKPure
Be the first to get access to the early release, news, and guides of the best Android games and apps.
No thanks
Sign Up
Subscribed Successfully!
You're now subscribed to APKPure.