Our website uses necessary cookies to enable basic functions and optional cookies to help us to enhance your user experience. Learn more about our cookie policy by clicking "Learn More".
Accept All Only Necessary Cookies
Kilimo na Ufugaji Blog.App icon

Kilimo na Ufugaji Blog.App


UmojaApps
1.0
  • Mar 10, 2019
    Update date
  • Everyone
  • Android 4.2+
    Android OS

About Kilimo na Ufugaji Blog.App

Ukiweka app hii lazima ufanikiwe kuwa tajiri kupitia kilimo na ufugaji nchini

App hii inawasaidia vijana wengi kujifunza jinsi ya kujiajiri kupitia fulsa ya kilimo na ufugaji ambayo ni fulsa kubwa kwa sasa nchini. Kila siku watu au binadamu lazima wale chakula hii inatuhakikishia kuwa tukilima kwa kutumia utalaamu au tukifuga kwa kutumia utalaamu tutauza tu kwakua walaji wapo.

usihangaike tena wala usisikitike tena kuwa kilimo ulichokuwa unafanya hakikuwa na tija au ufugaji uliokuwa unafanya haukuleta mafanikio weka sasa app ya kilimo na ufugaji kwenye simu yako uweze kujifunza kwa vitendo kilimo cha zao lolote lile au mifugo ya aina yoyote ile.

App hii ina watalaamu zaidi ya mmoja waliosomea vyuo vikuu vya kilimo kama SUA hivyo utapata elimu sahihi ya kilimo bora na ufugaji bora.

Saidia kupambana na umaskini kwa kushare app hii ili iwafikie watu wengi na tuzalishe mazao mengi zaidi ya kilimo na mifugo.

Nchi yetu ni tajiri sana ina maeneo makubwa ina udongo mzuri kwa kilimo na ina maeneo mazuri kwa ufugaji ni sisi tu kuvitumia vyema fulsa hizi.

Kushare app hii kwa marafiki watumie link hii. (coming soon)

Show More

Additional APP Information

Latest Version

1.0

Uploaded by

Roselio Semiley Gonzalez Mora

Requires Android

Android 4.2+

Content Rating

Everyone

What's New in the Latest Version 1.0

Last updated on Mar 10, 2019

Ukiweka app hii lazima ufanikiwe kuwa tajiri kupitia kilimo na ufugaji hapa nchini.

App ya kilimo na ufugaji ni mahususi kwa vijana wanaotaka kujiajiri kwa kilimo
App hii ina mafunzo ya kilimo bora, ufugaji bora na jinsi ya kulima zao lolote lile na kufuga mifugo yoyote ile
Share App hii kwa marafiki nao wajifunze kilimo na ufugaji ili Taifa letu liwe na chakula cha kutosha na kuwa na maisha bora kwa kila mkulima na mfugaji

Show More

Kilimo na Ufugaji Blog.App Screenshots

Kilimo na Ufugaji Blog.App posterKilimo na Ufugaji Blog.App screenshot 1Kilimo na Ufugaji Blog.App screenshot 2

Related Tags

Popular Articles In Last 24 Hours

Subscribe to APKPure
Be the first to get access to the early release, news, and guides of the best Android games and apps.
No thanks
Sign Up
Subscribed Successfully!
You're now subscribed to APKPure.