APKPure Appを使用する
Kabumbuの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
屋屋http://kabumbu.co.tz tovuti Kabumbu NIアプリケーション
Kabumbu show kipindi kinachorushwa hewani televisheni ya East Africa ( EATV) Channel 5 kila siku ya Ijumaa saa 3 usiku. App hii inaletwa kwako na waandaji wa kipindi hicho tv.
Ndani ya app hii utapata habari za soka la bongo, la kimataifa na habari/msimamo/matokeo/ratiba ya ligi kuu ya Tanzania. Pia utapata exclusive chance ya kuziangalia video za kabumbu show huku pia ikiwa ni video nyingine za mahojiano na mtaani. Vyote hivi vikipatikana ndani ya Kabumbu show
Last updated on 2015年10月17日
Kutatua matatizo ya kiusalama hasa kwa simu zenye android version 4.1XX na 4.2X
Kabumbu
1.3 by Rightclick Apps Tanzania
2015年10月17日