We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
ikon Katekisimu Ndogo

1.0 by AlberaInfoTech


Nov 13, 2018

Tentang Katekisimu Ndogo

Indonesia

Katekisimu Ndogo Ya Kanisa katoliki

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki,

       Aplikasi hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki, Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.

        Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki,

zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

1: SEHEMU YA KWANZA: IMANI

     - Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na

     majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani.

1.0: NASADIKI

        1.1: KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.2: MUUMBA MBINGU NA DUNIA

        1.3: YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU ​​AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA

        1.4: AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU

        1.5: AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.6: TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU

        1.7: NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU

        1.8: KANISA TAKATIFU ​​KATOLIKI

        1.9: USHIRIKA WA WATAKATIFU

        1.10: MAONDOLEO YA DHAMBI

        1.11: UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE

2: SEHEMU YA PILI: SAKRAMENTI

-Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia, Neema, Visakramenti, Sakramenti

umuhimu wa Sakramenti, nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:

        2.0: LITURJIA

        2.1: NEEMA

        2.2: SAKRAMENTI

        2.3: VISAKRAMENTI

        2: 4: SALA

3: SEHEMU YA TATU: AMRI

Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote Muna na za kanisa, pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala ya fadhila, aina za fadhila, dhambi aina za dhambi, vishawishi na asili zake,

na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo.

3.0: AMRI KUU

       3.1: AMRI KUMI ZA MNGU

       3.2: AMRI ZA KANISA

       3.3: FADHILA

       3.4: DHAMIRI

       3.5: DHAMBI

       3.6: VISHAVISHI

4: SEHEMU YA NNE: SALA MUHIMU

Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku,

 namna ya kusali, wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima.

        4.0: SALA ZA ASUBUHI

        4.1: SALA YA JIONI

        4.2: SALA KABLA YA MAFUNDISHO

        4.3: SALA WAKATI WA KUUNGAMA

        4.4: SALA ZA JIONI

        4.5: SALA ZA KOMUNYIO

        4.6: SALA KWA BIKIRA MARIA

Apa yang baru dalam versi terbaru 1.0

Last updated on Nov 13, 2018

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

Terjemahan Memuat...

Informasi APL tambahan

Versi Terbaru

Permintaan Katekisimu Ndogo Update 1.0

Diunggah oleh

عبيدة القج

Perlu Android versi

Android 4.0.3+

Available on

Mendapatkan Katekisimu Ndogo di Google Play

Tampilkan Selengkapnya

Katekisimu Ndogo Tangkapan layar

Komentar Loading...
Bahasa
Bahasa
Berlangganan APKPure
Jadilah yang pertama mendapatkan akses ke rilis awal, berita, dan panduan dari game dan aplikasi Android terbaik.
Tidak, terima kasih
Mendaftar
Berlangganan dengan sukses!
Anda sekarang berlangganan APKPure.
Berlangganan APKPure
Jadilah yang pertama mendapatkan akses ke rilis awal, berita, dan panduan dari game dan aplikasi Android terbaik.
Tidak, terima kasih
Mendaftar
Kesuksesan!
Anda sekarang berlangganan buletin kami.