Anuani Maneno Matatu(AM3)


7.30.270688 oleh DigitalCity Services Limited
Jul 30, 2021 Versi lama

Tentang Anuani Maneno Matatu(AM3)

AM3

Sasa Kila Raia, biashara na Kila mali isiyohamishika kwenye nchi za Afrika Mashariki imepata anuani ya kudumu. Yote Ardhi ya Afrika Mashariki tumeigawanya kwenye miraba ya ukubwa wa mita tatu kwa tatu (3m x 3m) na Kila mraba umepewa anuani Maneno matatu. Maneno matatu haya hayana Maana yoyote. Ni Maneno matatu tu. Ni rahisi kuyakumbuka na ni rahisi kutumia. Ni sawa na majina yako matatu.

Kampuni ya DigitalCity Services Ltd ya Tanzania imeshirikiana na Kampuni ya What3words ya Uingereza kukamilisha mradi huu. Anuani hizi ni maalumu kwa nchi za Afrika Mashariki - Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Republik Demokratik Kongo (DRC), Zambia, Sudan Selatan dan Malawi.

Anuani Maneno Matatu - AM3 inakuwezesha kutambua Mahali ulipo, biashara yako ilipo na Mahali mali yako ilipo, na kwenye unaisajili rejista ya kudumu ya anuani. Kwa kutumia anuani Maneno matatu unaweza kutangaza biashara yako na / au kutafuta bidhaa unayoihitaji iko WAPI. Pia unaweza kutafuta anuani za jamaa na marafiki Zako na za washirika Wako wa biashara na kuwatembelea. Fika Mahali unapotaka, wakati wowote na Bila kuuliza. Nenda na AM3.

Apa yang baru dalam versi terbaru 7.30.270688

Last updated on Sep 9, 2021
Fixed bugs, enhanced performance

Introducing Polygon(P) feature, which enables one(surveyor) to draw and store shapes(Polygons) in the device

Wapiana Chat TimeStamp Fixed

Informasi APL tambahan

Versi Terbaru

7.30.270688

Diunggah oleh

葉海明

Perlu Android versi

Android 4.1+

Available on

Laporkan

Tandai sebagai hal yang tak patut

Tampilkan Selengkapnya

Use APKPure App

Get Anuani Maneno Matatu(AM3) old version APK for Android

Unduh

Use APKPure App

Get Anuani Maneno Matatu(AM3) old version APK for Android

Unduh

Anuani Maneno Matatu(AM3) Alternatif

Menemukan