Abilling Client ni aplikesheni kwa ajili wa wateja wa mamlaka za maji ambazo zinatumia mfumo wa ABilling kwa ajili ya shughuli zao za kila siku. Aplikesheni hii inamsaidia mteja kufuatilia taarifa zote zinazohusu akaunti yake kwenye mamlaka husika. Taarifa hizo ni:
1. Usomaji wa mita yake na kiasi cha maji alichotumia
2. Orodha ya ankara alizopewa
3. Taarifa ya malipo aliyowahi kufanya
4. Taarifa ya deni alilonalo mteja kwa wakati husika
Pia mteja ataweza kutuma malalamiko kwenda kwenye mamlaka husika moja kwa moja kupitia aplikesheni hii
آخرین نسخه
3.2نیاز به اندروید
4.1 and up
دسته بندی
رایگان برنامه انتظام کاررتبهبندی محتوا
Everyone
گزارش
گزارش محتوای نامناسبLast updated on 11/06/2018
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!