We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Tenzi za Rohoni Zeichen

10.0 1 Rezensionen


2.4.6 by Robert Londo


Feb 1, 2023

Über Tenzi za Rohoni

Deutsch

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.

App inakuwezesha kupata nyimbo zu injili na tenzi zu rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote auf mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na wie kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 3:16

FUNKTIONEN

★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Was ist neu in der neuesten Version 2.4.6

Last updated on Feb 1, 2023

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Übersetzung wird geladen...

Zusätzliche APP Informationen

Aktuelle Version

Tenzi za Rohoni Update anfordern 2.4.6

Von hochgeladen

Rosa Cecibel Garcia Lucas

Erforderliche Android-Version

Android 4.1+

Mehr anzeigen

Tenzi za Rohoni Screenshots

Kommentar wird geladen...
Sprachen
Sprachen
Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolgreich abonniert!
Sie haben jetzt APKPure abonniert.
Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolg!
Sie sind jetzt unseren Newsletter abonniert.