Our website uses necessary cookies to enable basic functions and optional cookies to help us to enhance your user experience. Learn more about our cookie policy by clicking "Learn More".
Accept All Only Necessary Cookies
Moless Cargo أيقونة

Moless Cargo


Quantum_Labs
1.0.5
  • 26/02/2026
    Update date
  • Security
  • Everyone
  • Android 6.0+
    Android OS

عن Moless Cargo

توما ميزجو بوبوتي تنزانيا

Ilianzishwa katika mitaa yenye pilikapilika ya Dar es Salaam mwaka 2024، Moless Cargo inabadilisha jinsi vifurushi vinavyosafirishwa kote تنزانيا. Kutoka kwa nyaraka muhimu hadi zawadi za upendo، bidhaa za bihara ndogo hadi mizigo ya makampuni، tuko hapa kuhakikisha kwamba kila kifurushi kinafika kwa wakati، kwa usalama، na kwa gharama nafuu.

Kwa mibofyo michache tu, unaweza kupanga usafirishaji wa vifurushi mahali popote ndani ya Dar es Salaam au kutuma hadi mikoa ya mbali, ukileta watu karibu zaidi, bishara kukua, na fursa kuunganishwa. لم أقم بالتحرك في uliopangwa، فأنا أترك لينكوبا urahisi unaohitaji.

التكنولوجيا هي مفتاح النجاح والمتعة. Kufuatilia moja kwa moja، arifa za papo hapo، na mawasiliano rahisi vinahakikisha unajua kila hatua ya safari ya kifurushi chako. Vifurushi vyako vinashughulikiwa kwa uangalifu mkubwa kwa sababu tunafahamu kuwa si mizigo tu — ni ahadi، uhusiano، na nyakati muhimu.

Tunaamini usafirishaji si suala la vifaa pekee—ni kuhusu kuwawezesha watu, kusaidiabiahara, na kujenga jamii imara. Kwa Moless Cargo، kila kifurushi tunachosafirisha ni hatua ya kuunganisha ndoto، kuleta tabasamu، na kurahisisha maisha kote تنزانيا.

Hivyo Basi, iwe wewe ni mjasiriamali unayepanua wigo wa bihara yako, rafiki unayetuma zawadi ya upendo, au mtu anayehakikisha kifurushi muhimu kinawasilishwa kwa wakati, Moless Cargo iko hapa kufanya hivyo liwezekane—kwa ufanisi, usalama, na gharama nafuu.

Karibu Moless Cargo — ambapo kila kifurushi kinaelezea hadithi، na kila usafirishaji unaacha alama.

—تيمو يا مولس

عرض المزيد

معلومات أكثر ل تطبيق

احدث اصدار

1.0.5

محمل

Ezequiel Pereyra

Android متطلبات النظام

Android 6.0+

الرخصة مطلوبة

تقييم المحتوى

Everyone

تقرير الأمان

تحديث لأحدث إصدار 1.0.5

Last updated on 26/02/2026

Moless Cargo ilianzishwa Dar es Salaam mwaka 2024 kwa dhamira ya kubadilisha usafirishaji wa vifurushi Tanzania. Kwa mibofyo michache, tumia jukwaa letu kupeleka vifurushi ndani ya Dar es Salaam au mikoa ya mbali kwa haraka, usalama, na gharama nafuu.

Kwa Moless Cargo, usafirishaji ni zaidi ya mizigo—it’s about kuunganisha watu, kusaidia biashara, na kuleta tabasamu.

Karibu Moless Cargo—tunakuletea huduma rahisi na bora za usafirishaji.

—Timu ya Moless

عرض المزيد
اكتمل فحص الأمان
لا يوجد فيروس
لا يوجد برامج تجسس
لا يوجد برمجيات خبيثة
لا يوجد فيروس
لا يوجد برامج تجسس
لا يوجد برمجيات خبيثة
اسم الحزمة:com.moless.cargo
SHA-256:e2e6d08a8842c78c87b47a125f86f50eb20056e35ccac01f50d518e32dcc3e72
SHA-1:f878b7f04854fe70734d9fdd914c7d519e6994bf
عرض المزيد
تم التحقق بواسطة: APKPURE

Moless Cargo لقطات الشاشة

Moless Cargo الملصقMoless Cargo تصوير الشاشة 1Moless Cargo تصوير الشاشة 2Moless Cargo تصوير الشاشة 3Moless Cargo تصوير الشاشة 4Moless Cargo تصوير الشاشة 5Moless Cargo تصوير الشاشة 6Moless Cargo تصوير الشاشة 7

العلامات المتعلقة

المقالات الشعبية خلال ال24 ساعة

اشترك في APKPure
كن أول من يحصل على الإصدارات السابقة والأخبار والأدلة لأفضل ألعاب وتطبيقات الأندرويد.
ًلا، شكرا
اشتراك
تم الاشتراك بنجاح!
أنت مشترك الآن في APKPure.