Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania icon

Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania APK

  • Author:

    StonekApps

  • Latest Version:

    4.1.0

  • Publish Date:

    2017-07-19

The description of Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania

Zinazosomwa ni app inayokusogezea habari unazopenda kuzisoma kutoka vyanzo vikubwa mbali mbali Tanzania. Kwa mfano kama wewe unapenda tu kupata habari za michezo na burudani, basi app hii itakupa habari za michezo na burudani tu! Kama unapenda habari za siasa basi itakusogezea habari za siasa tu. Vileviel kama unapenda habari zote zile basi itakuletea habai zote!

Pia app hii inaweza kukwambia mambo gani yanavuma Tanzania na pia inaweza kukuonesha habari zipi zinasomwa sana katika siku.

Baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza

Pia app hii inaruhusu watumiaji wake kunzisha mijadala na kuchangia maoni juu ya mijadala hiyo. Pia watumiaji wanaweza kutoa maoni juu ya habari fulani waliyoisoma.

App hii inakusanya habari kila baada ya dakika moja. Hivyo watumiaji hawatapitwa na habari pindi itakapowekwa kwenye chanzo husika.

App hii inawanufaisha wamiliki wa vyanzo vya habari ama waandishi kwa kuwa inaongeza idadi ya watu watakaosoma habari husika kwani habari zote zinasomwa kwenye kurusa zake lakini ndani ya Zianazosomwa App.

*****************************************************

Zinazosomwa is an app which corrects news from top sources in Tanzania and lets you read only the news that matter to you. For example if you just want to read news on sports and entertainment, the app will give you news on sports and entertainment only! If you like politics then it will give you news about politics. Also if you want read everything then it will give you everything

With all that, the app can tell you which topics are trending in Tanzania and which news are read most within a day.
Show More

What's new

2017-08-18
- Tatizo la video na udio kuendelea kucheza limelekebishwa
- Commenting on News
- Discussion Forum
- Maboresho ya kimuonekano
- Marekebisho ya ndani kwa ndani

**********
- Audio and Video playing problems have been fixed
- Commenting on News
- Discussion Forum
- Improved User Interface
- Internal bug fixes
Advertisement
Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania APK Version History
Request Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania UpdateRequest Update
Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 4.1.0 for Android 4.0.3+ APK Download

Version: 4.1.0 (24) for Android 4.0.3+ (Ice Cream Sandwich MR1, API 15)

Update on: 2017-08-18

Signature: 8298dba4fc4cc1f9617e324d186ec90d04e654d2 Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 4.1.0(24) apk safe verified

APK File SHA1: 3ef4a2323d2b3377b0757c50507a661c1fc6d53f

What's new: - Tatizo la video na udio kuendelea kucheza limelekebishwa - Commentin More...

Download APK(4.7 MB)

Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 2.3 for Android 4.0.3+ APK Download

Version: 2.3 (13) for Android 4.0.3+ (Ice Cream Sandwich MR1, API 15)

Update on: 2017-06-10

Signature: 8298dba4fc4cc1f9617e324d186ec90d04e654d2 Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 2.3(13) apk safe verified

APK File SHA1: cdafc8ab18473270f3d4d2bf9e8906c73f9a07dc

What's new: - Marekebisho madogo ya kimuonekano - Kutafuta Habari kwa mada, tag, c More...

Download APK(3.1 MB)

Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 1.7 for Android 4.0.3+ APK Download

Version: 1.7 (9) for Android 4.0.3+ (Ice Cream Sandwich MR1, API 15)

Update on: 2017-05-31

Signature: 8298dba4fc4cc1f9617e324d186ec90d04e654d2 Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 1.7(9) apk safe verified

APK File SHA1: e840037f176c92f46638eb2156241646bdf915e7

What's new: - Kutafuta Habari kwa mada, tag, chanzo n.k - Ku-share habari kwa what More...

Download APK(3.1 MB)

Comment Loading...
Ooops! No such content!
Zinazosomwa Tags
Add Tags

By adding tag words that describe for Games&Apps, you're helping to make these Games and Apps be more discoverable by other APKPure users.

Popular Apps In Last 24 Hours
Download
APKPure App