Use APKPure App
Get Nyimbo Mpya BongoFlava old version APK for Android
Tải ứng dụng ngoma mpya na kali za Bongoflava kupitia hii
Nyimbo Mpya BongoFlava ndiyo Chimbo Namba Moja La Kujipatia Nyimbo zote Mpya.
Ngoma zote Mpya za Bongo Fleva, Naija Fleva.
Mchiriku, Singeli,Baikoko,RnB,hip Hop, Gwaragwara, Shaku Shaku Hakika Utazipata Hapa.
Story Kuhusu Diamond Platnumz, Alikiba,Harmonize,Aslay na Wengine Wote Ziko Hapa.
Nyimbo Mpya Tanzania inakuleta karibu wewe mshabiki wa nyimbo za kizazi kipya za Bongo Flava kutoka kwa wasani wako uwepandao kwa kila nyimbo wanazotoa.
Kupitia App hii,utaweza kupakua kadri uwezavyo nyimbo hizo na kushare na jamaa zako bila kikwazo chochote kile.
Pia bila kusahau kupitia App hii utaweza kupata video za wasanii hao moja kwa moja katika simu yako.
Unachotakiwa kuwafanya ni Download App hii kisha Share kwa jamaa zako ili nao waweze kuenjoy ubora wa nyimbo za Bongo Flava kupitia App hii.
Last updated on Feb 15, 2019
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Yêu cầu Android
4.2 and up
Danh mục
Báo cáo
Nyimbo Mpya BongoFlava
1.0 by MSAFI
Feb 15, 2019