Saut App icon

Saut App APK

The description of Saut App

SAUT APP ni Application ilioundwa kwaajili ya wanafunzi wa chuo kiku cha mtakatifu Augustine. ndani ya app hii kuna features zifuatazo;

-Smis _ Ambayo ina muwezesha mwanafunzi kuangalia matokeo ya course work na UE kupitia app hii, pia mwanafunzi anaweza kuangalia malipo mbalimbali kupitia app hii .

-Online Library _pia app hii imekusogezea karibu library mbalimbali duniani ikiwemo na library ya chuo kwa ajili kuku rahisishia na kukuongezea uwezo wa ku review material mengi zaid duniani.

-Past papers section - kupitia app hii pia unaweza ku review past papers mbalimbali kutoka ndani ya chuo na nje ya chuo.

Features nyengine ni kama vile;
-chat section
-radio saut
-university website
-university location
-online market

Na vitu vingine kibao kupitia simu yako.Usi sahau ku share na rafiki zako wa Saut.
Show More
Advertisement
Saut App APK Version History
Request Saut App UpdateRequest Update
Saut App 7.2 for Android 2.3.2+ APK Download

Version: 7.2 (3) for Android 2.3.2+ (Gingerbread, API 9)

Update on: 2017-09-22

Signature: 4acd13a0fa0bcbe80674c27d0ec65bd06cbb97ee Saut App 7.2(3) apk safe verified

APK File SHA1: 3be06d83b4fd3bb252ddb032968ed0a2542f34d4

Download APK(4.1 MB)

More From Developer
Comment Loading...
Be the first to comment.
Developer Console
Popular Apps In Last 24 Hours
Download
APKPure App