We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Business Live ikona

1.4.4.1 by SwahiliTech Team


Aug 19, 2017

O Business Live

English

Business Live(BL) tunaunganisha na tunaboresha biashara yako karibu.

Business Live(BL) ni App rahisi kutumia kwa lugha ya kiswahili ambayo inamwezesha mwenye duka kuunganishwa na wateja wote nchini bure, pia mteja anaweza kutembelea maduka mbalimbali na kuangalia bidhaa bure kwa kutumia simu ya mkononi tu masaa 24.

BL inamsaidia mwenye duka kutengeneza duka kwenye simu ya mkononi na kuonyesha linapatikana wapi bure ambalo duka hilo litaonekana na wateja wote nchini katika sehamu mbalimbali, hii itamwezesha mwenye duka kupanua wigo wake wa biashara kupata wateja wengi Zaidi.

Hii ni nafasi kwa maduka yaliyo mbali na mjini au masoko kupata fursa ya kutangaza biashara zao kwa wateja wote inchi bure kwa kutumia simu yako ya kiganjani tu, ila duka lazima liwe linatambulika na serikari (Limesajiliwa).

Kwa wanunuzi wote BL inawapa nafasi ya kutembelea maduka mbalimbali yanayotambulika na serikali na kuona bidhaa unayohotaji bure kwa kupitia simu yako ya kiganjani(Smartphone), pia utaweza kutambua mahali duka lilipo ili uweze kulifuata, hii itakupunguzia mizunguko isiyo ya muhimu kutafuta bidhaa kwa bei unayohitaji.

Co nowego w najnowszej wersji 1.4.4.1

Last updated on Aug 19, 2017

Update apps performance

Tłumaczenie Wczytuję...

Dodatkowe informacje APLIKACJA

Ostatnia Wersja

Dostępne Business Live aktualizacje 1.4.4.1

Przesłane przez

Axel Florentin

Wymaga Androida

Android 4.0.3+

Pokaż więcej

Business Live Zrzuty ekranu

Wczytywanie komentarzy...
Języki
Języki
Subskrybuj APKPure
Bądź pierwszym, który uzyskał dostęp do wczesnego wydania, wiadomości i przewodników najlepszych gier i aplikacji na Androida.
Nie, dziękuję
Zapisać się
Subskrybowano pomyślnie!
Jesteś teraz subskrybowany do APKPure.
Subskrybuj APKPure
Bądź pierwszym, który uzyskał dostęp do wczesnego wydania, wiadomości i przewodników najlepszych gier i aplikacji na Androida.
Nie, dziękuję
Zapisać się
Powodzenie!
Jesteś teraz subskrybowany do naszego biuletynu.