We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Tenzi za Rohoni-icoon

10.0 1 Recensies


2.4.6 by Robert Londo


Feb 1, 2023

Over Tenzi za Rohoni

English

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (offline)

Neno la Kristo op gelijkaardige kwa wingi ndani Yenu katika hekima yote, mkifundishana op kuonyana kwa zaburi, op nyimbo op tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 3:16

FUNCTIES

★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za tenzi bila intaneti (offline)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Wat is er nieuw in de nieuwste versie 2.4.6

Last updated on Feb 1, 2023

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Vertaling Laden...

Aanvullende APP -informatie

Laatste Versie

Verzoek update van Tenzi za Rohoni 2.4.6

Geüpload door

Rosa Cecibel Garcia Lucas

Android vereist

Android 4.1+

Meer Info

Tenzi za Rohoni Screenshots

Comment Loading...
Talen
Talen
Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succesvol ingeschreven!
Je bent nu geabonneerd op APKPure.
Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succes!
Je bent nu geabonneerd op onze nieuwsbrief.