Biblia Takatifu ya Kiswahili icon

Biblia Takatifu ya Kiswahili APK

348 votes, 4.2/5

The description of Biblia Takatifu ya Kiswahili

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

Show More
Biblia Takatifu ya Kiswahili APK Version History
Request Biblia Takatifu ya Kiswahili UpdateRequest Update
Biblia Takatifu ya Kiswahili 1.0.4 for Android 4.0+ APK Download

Version: 1.0.4 (104) for Android 4.0+ (Ice Cream Sandwich, API 14)

Update on: 2016-10-09

Signature: f6448312786d496e9fa835ec8902ab8f756f60b1 Biblia Takatifu ya Kiswahili 1.0.4(104) apk safe verified

APK File SHA1: aaef7f05175f2dc98e0a981e605ef44a955fb9db

What's new: This app was overhauled, except for the main features you love - Swahi More...

Download APK(6.0 MB)

Biblia Takatifu ya Kiswahili 1.0 for Android 1.6+ APK Download

Version: 1.0 (1) for Android 1.6+ (Donut, API 4)

Update on: 2015-10-06

Signature: f6448312786d496e9fa835ec8902ab8f756f60b1 Biblia Takatifu ya Kiswahili 1.0(1) apk safe verified

APK File SHA1: 57dab5de783345905a48a58f63528e0c2fd51779

Download APK(2.8 MB)

Popular Apps In Last 24 Hours
Download
APKPure App